• ePaper
Sunday, February 1, 2026

No products in the cart.

No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
No Result
View All Result
epaper
Uhuru Publication
No Result
View All Result
Home Michezo

SIRI YA AZAM FC HADHARANI

by admin
August 27, 2025
in Michezo
0
SIRI YA AZAM FC HADHARANI
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi siri yao ya kucheza michezo nchini Rwanda ni kocha wao,Florent Ibenge kuangalia uwezo wa kila mchezaji ndani ya kikosi chake.

Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam, Hashim Ibwe alisema hayo alipozungumza na baadhi ya vyombo vya habari kuwa kocha wao, amekuwa anatumia michezo hiyo kuangalia  kiwango cha wachezaji kabla ya kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26.

“Unajua kocha wetu ana uwezo mkubwa, tayari amefahamu udhaifu wa kikosi chetu na anaendelea kufanyia kazi katika mazoezi.

“Mechi tulizocheza zilikuwa na umuhimu mkubwa katika timu na kocha ameona mapungufu ya wachezaji anafanyia kazi ya kuboresha,” alisema.

Ofisa huyo aliongeza kwamba msimu mpya wa ligi utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na kusajili wachezaji wazuri.

“Msimu mpya wa ligi utakuwa na ushindani mkubwa hivyo watu wategemee mambo mazuri kutoka Azam maana vitu vizuri vinakuja kutoka kwetu,” alisema.

admin

admin

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

VYAMA 18 Z’BAR VYASAINI FOMU KUELEKEA UCHAGUZI

VYAMA 18 Z’BAR VYASAINI FOMU KUELEKEA UCHAGUZI

5 months ago
MAELFU  WAJITOKEZA  KUMSINDIKIZA  MAKONDA  KUCHUKUA  FOMU  ARUSHA

MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MAKONDA KUCHUKUA FOMU ARUSHA

5 months ago

Popular News

  • SIRI YA AZAM FC HADHARANI

    SIRI YA AZAM FC HADHARANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MAKONDA KUCHUKUA FOMU ARUSHA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MPINA APIGWA ‘STOP’ URAIS ACT-WAZALENDO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • VYAMA 18 Z’BAR VYASAINI FOMU KUELEKEA UCHAGUZI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MATUMIZI MABAYA MITANDAONI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2025 UPL - All Rights Reserved.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?