ELIMU ya Watu Wazima ilianzishwa na Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1975, kwa lengo la kuondoa adui ujinga kati ya wale maadui watatu wakiwemo maradhi na umaskini.
Wakati huo, Taifa lilikuwa na watu wengi wasiojua kusoma na kuandika, hivyo lilianzishwa kwa lengo kuwajengea mfumo mzuri wa elimu wapate fursa hiyo ya kujua kusoma na kuandika.
Support authors and subscribe to content
This is premium stuff. Subscribe to read the entire article.
Login if you have purchased




