Kitaifa

MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MAKONDA KUCHUKUA FOMU ARUSHA
MAELFU ya wananchi wa Wilaya ya Arusha, wakiwemo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamefurika katika ofisi za chama hicho kushuhudia na kumsindikiza mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda, wakati akichukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM. Baada ya kukamilisha zoezi hilo, Makonda aliwashukuru wananchi pamoja na makada […]
Read more

MPINA APIGWA ‘STOP’ URAIS ACT-WAZALENDO
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imetengua uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Uamuzi huo umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na Katibu Mwenezi wa chama hicho, Monalisa Ndala, kuhusu uhalali wa Mpina kuwania nafasi hiyo. Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kutenguliwa kwa Mpina na kueleza […]
Read more

VYAMA 18 Z’BAR VYASAINI FOMU KUELEKEA UCHAGUZI
Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar VYAMA vya siasa 18, kati ya 19, vimetia saini fomu za maadili kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofannyika Oktoba 29, mwaka huu huku CHADEMA, hakikufanya hivyo. Utiaji saini huo, umefanyika pamoja na uzinduzi wa nembo ya uchaguzi mkuu mwaka huu. Akizungumza mjini Unguja, jana, baada ya kumalizika kwa utiaji saini, Mwenyekiti wa Tume […]
Read more

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MATUMIZI MABAYA MITANDAONI
Na ZIANA BAKARI BAADHI ya viongozi wa dini, wasomi na wadau mbalimbali, wamewashauri vijana kutumia vyema mitandao ya kijamii, kujiajiri na kuacha kuiga utamaduni wa kigeni. Pia, wamezisihi taasisi za kielimu, kuendelea kuwaelimisha vijana kutumia vizuri mitandao ya kijamii, huku wazazi na walezi, wakishauriwa kuwalea watoto katika maadili mema yenye hofu ya Mwenyezi Mungu. Wakizungumza […]
Read more
Kimataifa

“Wasichana milioni mbili wanufaika na elimu ya stadi za maisha
Two million girls benefit from life skills education program across Tanzania. Two million girls benefit from life skills education program across Tanzania. Two million girls benefit from life skills education program across Tanzania. Two million girls benefit from life skills education program across Tanzania.
Read more
Tume ya Uchaguzi itangaza ratiba mpya ya uchaguzi
Electoral Commission announces new election schedule and voter registration updates Electoral Commission announces new election schedule and voter registration updates Electoral Commission announces new election schedule and voter registration updates Electoral Commission announces new election schedule and voter registration updates
Read more